Sit back and Relax . . We are here to serve you better . . .
Dont Go Anywhere !!!!
GREAT FUN HERE . . .
Checkout Todays Post and Watch More Video!!!
Download | Mocco Genius – Napendwa [Mp3 Audio]
Lyrics
Napendwa – Mocco Genius
…
Nakupa salamu pole ex mi kwanza saa Ivi na nenepa nilie kanitoa stress nimesahau michoko nilikotoka ivi bado anakupost bwanako anakupost wale nichamba mashoga zako ivi wapo wale mashosti number zako nilikwisha futa nimezitafuta tu nikupe taarifa nilimpata amenipata hodari mwenye kila sifa juzi nimeona umeposti picha insta umezidi kangaruka mifupa ilivyo kutoka utadhani umetapikwa na nyoka umekondeana pole pole sana vipi danga lako la masaki mumeshaachana si tumependezana tumependezana loba ya mapenzi alonikaba nishanibana yani raha ( napendwa napendwa napendwa napendwa aah ili chaka sing’oki napendwa napendwa napendwa napendwa nimeshatulizana )
mmmh una kazi ya kushindia vijora cream imekuharibu sura we na bwana wako mmekutana wote hamna hela serikali imekwisha isha sera kumbe chakula cha masela mie huku mwenzako penzi limechanganya mpela mpela ooh niliforce maji kupanda mlima nilipambana kuwasha kumbe una zima nikaugua baridi na kutetema yani maateso ukawa unaringa kama umepima na pole dada sasa umechina nimempata fundi Ronaldo dilema mineso nilijuwa tu tusingefika mbali wewe na mimi unapenda makuu ndio maana hukujali kidogo cha mimi umekondeana pole pole sana vipi danga lako la masaki mumeshaachana si tumependezana tumependezana loba ya mapenzi alonikaba nishanibana yani raha napendwa napendwa napendwa napendwa napendwa napendwa ili chaka sing’oki napendwa napendwa raha napendwa napendwa raha napendwa napendwa mama mama aaaaah
The post AUDIO | Mocco Genius – Napendwa | Download appeared first on DJ Mwanga.
AUDIO | Mocco Genius – Napendwa | Download [Promasika Forum] . . . . If You are a Music Artist, Be it Upcoming or Famous And You wish To Drop Your Music For Fans To Access Online. You can chek for whatsapp no; +255755448885Mdundo, Ghafla, DjMwanga, MzigoTV, Hungama, Freeziki, Gaana, UniforumTz, Naijamusic, Junodownload, Naijavibes, Naijaloaded, Notjustok, Mziiki, Trendybeatz, MillardAyo, Mtikiso, Naijajam, Africannews, Mabumbe, Ngsongs, To9music...
This post appeared first on ProMasika


0 Comments